Posted By Posted On

Majanga yaendelea kuiandama Liverpool

LIVERPOOL, ENGLAND. LIVERPOOL yaendelea kianguasha pointi katika muendelezo Ligi Kuu, England baada ya leo kutoka sare ya mabao 2-2 katika mchezo wa Derby dhidi ya Everton.
 
Liverpool  ndio ilikuwa ya kwanza kupitia kwa mshambuliaji wake Sadio Mane dakika ya tatu kabla ya Everton kusawazisha dakika ya 19, kupitia kwa Michael Keane.

Liver iliandika bao la pili kupitia staa wake Mohamed Salah dakika ya 72, lakini dakika saba baadae Dominic Calvert-Lewin aliisawazishia Everton.

Huo unakuwa ni mchezo wa tano kwa Liver na imeshinda mechi tatu, sare moja na kupoteza mchezo mmoja huku ikishikilia nafasi ya pili na alama zao 10.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *