Posted By Posted On

Mambo 10 yanayomkabili kocha mpya wa Yanga

Mabingwa wa soka wa zamani nchini klabu ya Yanga inatarajia kuanza kunolewa na Kocha mpya, Cedric Kaze raia wa Burundi. Yanga wamelazimika kusaka kocha mpya baada ya kumtimua Zlatko Krmpotic kutokana na sababu za kiufundi. Licha ya ukubwa wa klabu hiyo kwa sasa imepitia vipindi tofauti vyenye taswira chanya na hasi. Baada ya kuondolewa kocha mkuu, Yanga iliendelea kuwa chini ya kocha Juma Mwambusi…

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *