Posted By Posted On

Roy Keane atawavusha ‘Class of 92’?

Nimesoma mahali taarifa ya mpango wa kuajiriwa kocha mpya wa klabu ya Salford City. Kocha huyo ni nahodha wa zamani wa Manchester United, Roy Keane. Salford Citry inamilikiwa na marafiki wakubwa, Paul Scholes, Nick Butt, Ryan Giggs, David Beckham, Phil Neville na Gary Neville ambao ni maarufu kama ‘Class of 92’. Keane amekabidhiwa mikoba ya kuinoa Salford baada ya mabosi hao kumfukuza kazi kocha…

Source

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *