Posted By Posted On

STERLING AIFUNGIA BAO PEKEE MAN CITY YAICHAPA ARSENAL 1-0

Raheem Sterling (katikati) akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao pekee dakika ya 23 ikiilaza 1-0 Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *