Posted By Posted On

DNA ya nini? Mastaa wanaofanana na watoto zao ile mbaya

Wakati Hamisa Mobetto anatambulisha wimbo wake mpya aliomshirikisha Singh wa Nigeria, mtangazaji wa redio aliyokuwa anatambulisha wimbo huo alimuuliza kuhusu tetesi za kwamba mzazi mwenzake, Diamond Platnumz aliwahi kuwa na wasiwasi kwamba yeye sio baba halisi wa mtoto wao, Dylan hivyo ilibidi waende wakapime DNA — Hamisa akathibitisha kwamba jambo hilo ni kweli.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *