Posted By Posted On

MAN UNITED WATOKA NYUMA NA KUICHAPA NEWCASTLE 4-1 ST JAMES’ PARK


Aaron Wan-Bissaka akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la tatu dakika ya 90 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Newcastle United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa St. James’ Park. Mabao mengine ya Manchester United yalifungwa na Harry Maguire dakika ya 23, Bruno Fernandes dakika ya 86 na Marcus Rashford dakika ya 90 na ushei wakati la Newcastle United alijifunga Luke Shaw dakika ya pili tu 
PICHA ZAIDI GONGA HAPA

 

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *