Posted By Posted On

MESSI HOI BARCELONA YACHAPWA 1-0 NA GETAFE UGENINI LA LIGA


Nahodha Lionel Messi akiondoka kinyonge Uwanja wa Coliseum Alfonso Pérez baada ya kuchapwa 1-0 na wenyeji, Getafe bao pekee la Jaime Mata kwa penalti dakika ya 56 kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana
 PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *