Cedrick Kaze ameanza kazi Rasmi jangwani Kocha mkuu wa Yanga, mrundi Cedric kaze leo jioni ameanza kazi rasmi kwa kuhudhuria m…

Cedrick Kaze ameanza kazi Rasmi jangwani

Kocha mkuu wa Yanga, mrundi Cedric kaze leo jioni ameanza kazi rasmi kwa kuhudhuria mazoezi maandalizi ya mechi dhidi ya Polisi Tanzania.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *