Posted By Posted On

Chama cha soka nchini Uingereza ( FA ) kimesema kwamba Golikipa wa Everton Jordan Pickford hatopata adhabu kutokana na rafu aliy…

Chama cha soka nchini Uingereza ( FA ) kimesema kwamba Golikipa wa Everton Jordan Pickford hatopata adhabu kutokana na rafu aliyocheza dhidi ya Virgil Van Dijk.

VAR waliangalia tena lile tukio na waliona haistahili kuwa penati kwasababu Van Dijk alikuwa ameotea, na pia VAR walihitimisha kwamba rafu ya Pickford haistahili kadi nyekundu.

FA huwa wanatoa adhabu kwenye matukio ambayo mwamuzi wa uwanjani hakuona au VAR iliyopo makao makuu Stockley Park, London.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *