Posted By Posted On

Chukua Hii JKT Tanzania ndio timu pekee ambayo haijafunga goli hata moja kwenye uwanja wake nyumbani licha ya kucheza michezo m…

Chukua Hii

JKT Tanzania ndio timu pekee ambayo haijafunga goli hata moja kwenye uwanja wake nyumbani licha ya kucheza michezo mitatu na ndio timu iliyofungwa magoli mengi zaidi kwenye uwanja wa nyumbani imeruhusu magoli saba ya kufungwa

Hii Inaitwa Mgeni Njoo Mwenyeji ateseke😂

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *