Posted By Posted On

Inaelezwa kuwa mshambuliaji wa Klabu ya Simba Meddie Kagere amepata majeraha kwenye majukumu ya Timu ya Taifa ya Rwanda atakuwa …

Inaelezwa kuwa mshambuliaji wa Klabu ya Simba Meddie Kagere amepata majeraha kwenye majukumu ya Timu ya Taifa ya Rwanda atakuwa nje ya uwanja kwa wiki tatu. Kuna uwezekano Kagere akaukukosa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara (Vpl) dhidi ya watani wa jadi klabu ya Yanga mchezo ambao utachezwa November 07.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *