Kikosi cha Simba SC kesho asubuhi kitaondoka jijini Dar es Salaam kwenda jijini Mbeya ambako kitakuwepo kwa siku kadhaa kujianda…

Kikosi cha Simba SC kesho asubuhi kitaondoka jijini Dar es Salaam kwenda jijini Mbeya ambako kitakuwepo kwa siku kadhaa kujiandaa na mchezo ujao wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons ambao utapigwa siku ya alhamisi Oktoba 22, 2020 kwenye uwanja wa Nelson Mandela uliopo mjini Sumbawanga, Rukwa.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *