Kisa Simba, Kaze abadili gia Yanga
MASHABIKI wanasubiri kwa hamu kuinoa Yanga mpya chini ya Kocha Mkuu mpya, Cedric Kaze, lakini unaambiwa kocha huyo kutoka Burundi baada ya kuchungulia ratiba ya timu yake na kubaini ana mechi nne tu kabla ya kuvaana na watani zao, Simba na fasta akafanya jambo moja fasta.,Read More
Comments (0)