Klabu ya Liverpool imethibitisha kuwa beki wao Virgil Van Dijk atafanyiwa upasuaji katika goti lake aliloumizwa na kipa wa Evert…

Klabu ya Liverpool imethibitisha kuwa beki wao Virgil Van Dijk atafanyiwa upasuaji katika goti lake aliloumizwa na kipa wa Everton Jordan Pickford katika mechi ya jana.

Hata hivyo klabu hiyo haijaweka wazi ni muda gani atakaa nje ya uwanja kujiuguza.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *