Klabu ya Umm Salal SC ya Qatar imetangaza ofa ya dau la dola milioni 3 (Zaidi ya bilioni 6.9 za kitanzania) kumsajili Mshambulia…

Klabu ya Umm Salal SC ya Qatar imetangaza ofa ya dau la dola milioni 3 (Zaidi ya bilioni 6.9 za kitanzania) kumsajili Mshambuliaji wa Zamalek anayecheza Raja Club Athletic kwa mkopo Hamid Ahaddad.
#SPORTSKITAA #TALENTTV

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *