Kocha wa Simba Sven Vandenbroek amesema timu hiyo imeondoka leo kwenda Mbeya tayari kujiandaa kuwavaa Tanzania Prisons bila ya s…

Kocha wa Simba Sven Vandenbroek amesema timu hiyo imeondoka leo kwenda Mbeya tayari kujiandaa kuwavaa Tanzania Prisons bila ya straika wake wawili John Bocco na Meddie Kagere kutokana na majeraha.

Sven amesema timu imeondoka na wachezaji 22 ikiwakosa John Bocco, Kagere na Fraga kutokana na majeraha mbalimbali.

Simba itacheza na Prisons siku ya Alhamis kwenye uwanja wa Nelson Mandela mkoani Rukwa.
.
#M9Updates

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *