@ligikuutanzaniabara Raundi ya 7 kuanza kushika kasi Leo na kuruka mubashara kupitia #AzamTV. Saa 8:00 mchana JKT Tanzania kuwa…

@ligikuutanzaniabara Raundi ya 7 kuanza kushika kasi Leo na kuruka mubashara kupitia #AzamTV.

Saa 8:00 mchana JKT Tanzania kuwakaribisha Tanzania Prisons, ni mechi ya maafande, Je nani kumpigisha kwata mwenzie??

Mtibwa Sugar baada ya kupoteza michezo mitatu mfululizo saa 10:00 jioni kuwakaribisha Namungo FC, Je jinamizi la vipigo kuendelea ama watakataa uteja na kuondoka na pointi 3?

Kesho Jumanne Ihefu FC kuwakaribisha vinara AzamFC, Je Ihefu kumpunguza makali Azam FC ama AzamFC kuendelea moto wa ushindi?

Kumbuka unaweza kutazama pia mechi hizi za VPL kupitia App yako ya AzamTVMAX.
#SisiNiSoka #VPL #AzamTV #AzamTVMAX #bakinasisi__ #NjooKwetu #ulipotupo #hainakufeli #VPLUpdates #VodacomPremierLeague

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *