Mkurungezi wa Uwekezaji wa GSM, Eng Hersi Said amesema kuwa watu ambao ana imani nao kubwa ni kocha mpya wa klabu ya Yanga Cedri…

Mkurungezi wa Uwekezaji wa GSM, Eng Hersi Said amesema kuwa watu ambao ana imani nao kubwa ni kocha mpya wa klabu ya Yanga Cedric Kaze. Eng Hersi amedai kuwa Kaze msimu huu lazima atawapa ubingwa hakuna kitu kingine wao kwa pamoja wanamwamini kocha huyo.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *