Posted By Posted On

Morrison sio bure kuna kitu

STRAIKA Chris Mugalu ameendeleza kasi yake ya kufumania nyavu, baada ya usiku wa juzi kuifungia timu yake mabao mawili kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Mlandege, lakini wakati akifanya hivyo, mambo yanaendelea kuwa tofauti kwa nyota aliyetua kibabe katika timu hiyo, Bernard Morrison ‘BM3’.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *