“Nashukuru uongozi wa Mtibwa kwa kuniamini kwa kipindi kirefu nimekuja hapa kama mchezaji 1999 naondoka hapa nikiwa nimepewa maj…

“Nashukuru uongozi wa Mtibwa kwa kuniamini kwa kipindi kirefu nimekuja hapa kama mchezaji 1999 naondoka hapa nikiwa nimepewa majukumu ya ukocha hakika wamekuwa walezi bora kwangu, Mtibwa ipo ndani yangu na mtibwa ni nyumbani”

Zubeir Katwila

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *