NYOTA WATATU MUHIMU SIMBASC KUIKOSA PRISONS KUTOKA NA MAJERAA . πŸ–‹οΈ Leo kikosi cha Simba SC kimeondoka kuelekea Mbeya tayari kwa…

NYOTA WATATU MUHIMU SIMBASC KUIKOSA PRISONS KUTOKA NA MAJERAA
.
πŸ–‹οΈ Leo kikosi cha Simba SC kimeondoka kuelekea Mbeya tayari kwa Mchezo wa Vpl Siku ya Alhamisi Oct22
.
πŸ–‹οΈ Katika Msafara huo wa wachezaji 22 kikosi Cha SIMBASC kitawakosa nyota wake watatu tegemeo ambao ni majeruhi
.
πŸ–‹οΈ Nyota hao ni Caption Jonh Bocco ambae bado anaendelea vzuri Mbraziri fraga ambae Yupo katika hatua za mwisho kurud na BULL STRIKER Meddie yeye huenda akawa nje kwa Wiki kadhaa baada ya kuumia pia
.
πŸ–‹οΈ Akielezea Mchezo huo Kocha mkuu wa SIMBASC SVEN VANDENBROECK amesema

πŸ—£οΈ “Tumeondoka na wachezaji 22 ambao tunaamini wanatosha kwa ajili ya mchezo huo ambapo wote wako vizuri kiafya tayari kuipigania timu.

πŸ—£οΈ”Pia Mchezo dhidi ya Prisons tunaamini utakuwa mgumu kama zilivyo mechi nyingine za ugenini. Wao wanacheza soka la lenye matumizi makubwa ya nguvu lakini tumejiandaa kuwakabili.

πŸ—£οΈ”Hatujaondoka na kikosi kizima badala yake tumesafiri na wachezaji 22 kwa ajili mechi hii, matumaini ya kufanya vizuri ni makubwa na tutahakikisha tunafanikiwa,”Alimalizia
kusema Sven.
@kasangasports

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *