Posted By Posted On

Ozil aliyesalitiwa Ujerumani mwenye mali zake Uturuki

LONDON, ENGLAND.UNAPOZUNGUMZIA wachezaji ambao wanakunja mpunga mrefu pale Arsenal na EPL kwa ujumla namba moja ni huyu mwamba kutoka Ujerumani, Mesut Ozil ambaye alisaini mkataba mwaka 2018 unaomfanya kupokea Pauni 350,000 kwa wiki, ikiwa moja ya njia ambazo Arsenal ilizitumia ili kumbakisha kwa kuwa timu nyingi zilionesha nia ya kutaka kumsajili.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *