Photos from Sportextra’s post

Kagera Sugar wakiendelea na mazoezi katika Uwanja wa Kaitaba kujianda na mchezo wao wa kesho dhidi ya Dodoma Jiji

“Tumefika Salama kutoka Lindi vijana wote wapo vizuri tunapasha pasha misuli kukaa sawa niwaombe tuu mashabiki wa Kagera na Viongozi waendelee kuiunga mkono timu matokeo bado hayajawa mazuri lakin timu inacheza vizuri kwa hiyo ni swala la muda tuu ili tuanze kupata matokeo mazuri sapoti yao kwa vijana ni kitu kizuri kitakachoongeza hamasa kwa vijana kupambana zaidi” Meck Mecksime Kocha Mkuu Kagera Sugar @kagerasugarfcofficial

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *