Posted By Posted On

: Sarpong na Yacouba wote ni wazuri “Ngoja nikwambie kitu, Sarpong na Yacouba wote ni washambuliaji wazuri na wanalijua goli vi…

: Sarpong na Yacouba wote ni wazuri

“Ngoja nikwambie kitu, Sarpong na Yacouba wote ni washambuliaji wazuri na wanalijua goli vizuri tu, mimi ndiye nilipendekeza wasajiliwe baada ya kuwafuatilia muda mrefu.

“Lakini kilichotokea hadi wanaonekana wachezaji wa kawaida ni kwa sababu walikosa mbinu pamoja na viungo wa kuwawekea pasi za kufunga hali iliyosababisha hayo yote kutokea. Naamini ujio wangu utabadilisha kila kitu na mtauona ubora wao”

Cedric Kaze

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *