Posted By Posted On

Siku ya leo imezoeleka kuitwa ‘Monday Night Football’, leo mechi mbili zinapigwa kule Premier League. West Bromwich Vs Burnley….

Siku ya leo imezoeleka kuitwa ‘Monday Night Football’, leo mechi mbili zinapigwa kule Premier League.

West Bromwich Vs Burnley.

🎯 Timu zote hizi hazijapata ushindi hadi hivi sasa kwenye Premier League huku Burnley yeye akipokea vichapo katika mechi 3 mfululizo zilizopita.

Utabiri ( West Bromwich 1 – 0 Burnley ).

Leeds Vs Wolves.

🎯 Wolves wamepata ushindi katika michezo mitatu mfululizo iliyopita dhidi ya Leeds United.

🎯 Leeds wameanza vizuri msimu ambapo hadi hivi sasa wamepoteza mchezo mmoja tu dhidi ya mabingwa Liverpool.

Utabiri (Leeds 2 – 1 Wolves)

Tandika jamvi na @mbet_tz nyumba ya Mabingwa.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *