Posted By Posted On

SIMBA SC WATUA MBEYA KWA NDGEE KUWEKA KAMBI FUPI KABLA YA KUWAFUATA PRISONS SUMBAWANGA

Kiungo Mghana wa Simba SC, Bernard Morrison akishusha mzigo wake kwenye ndege baada ya mabingwa hao wa Ligi Kuu kwa miaka mitatu mfululizo, Simba SC kuwasili Mbeya kuweka kambi fupi kabla ya kusogea Sumbawanga mkoani Rumwa kwa ajili ya mchezo wao ujao wa ligi hiyo dhidi ya Tanzania Prisons Alhamisi Uwanja wa Nelson Mandela. 

Beki mkongwe, Erasto Nyoni amkiteremka kwenye ndege baada ya Simba kuwasili Mbeya leo 

Kiungo Mzambia, Rally Bwalya akiwa kwenye ndege baada ya timu kuwasili Mbeya leo

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *