Posted By Posted On

Solskjaer atuliza mzuka Man United

MANCHESTER, ENGLAND. KOCHA wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer amesisitiza kwamba mchezaji wake ambaye amesajiliwa katika dirisha hili la usajili lililopita, Donny van de Beek atacheza katika kikosi cha kwanza kwa dakika zote kwenye michezo ijayo, hiyo ni baada ya kuingia akitokea benchi katika mchezo dhidi ya Newcastle.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *