
TUKUMBUSHANE . Pierre-Emerick Aubameyang ameshindwa kuifungia Arsenal kwenye michezo minne mfululizo aliyoichezea timu hiyo hivi…
TUKUMBUSHANE
.
Pierre-Emerick Aubameyang ameshindwa kuifungia Arsenal kwenye michezo minne mfululizo aliyoichezea timu hiyo hivi karibuni.
.
❌ Vs West ham
❌ Vs Liverpool
❌ Vs Sheffield United
❌ Vs Man City
Hili nalo litapita🎯
,
Comments (0)