WAPE MASHAVU. . Kuna watangazani wa Habari za michezo halafu kuna Ahmed Abdallah “Mr International” a.k.a TOP SCORER. . Sauti ya…

WAPE MASHAVU.
.
Kuna watangazani wa Habari za michezo halafu kuna Ahmed Abdallah “Mr International” a.k.a TOP SCORER.
.
Sauti yake na namna anavyotangaza haswa Habari za kimataifa zinamfanya awe tofauti na pia namna anavyotamka majina., Ushawahi kusikia namna anavyotamka jina la Yule kocha wa Yanga ZLATKO KREMPOTIC.?
.
Naam shavu linamuangukia Leo @ahmedabdallah05 na kwangu Mimi hii ni hazina kwenye Tasnia ya michezo na tumuombee maisha marefu na aandelee kudumu ndani ya Wasafi.
.
Nakuachia wewe kumwambia nini haswa aongeze na kupunguza.
.
Cc: @ahmedabdallah05

#WapeMashavuWana

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *