Yes!, kwa sasa kuna vipaji vingi sana vya soka Duniani, wapo wachezaji ambao wana aina ya soka ambalo linavutia machoni. Kwa ma…

Yes!, kwa sasa kuna vipaji vingi sana vya soka Duniani, wapo wachezaji ambao wana aina ya soka ambalo linavutia machoni.

Kwa maoni ya mchambuzi wa soka @mawele_jr hawa ndio wachezaji 11 ambao wanamvutia zaidi na hachoki kuwatazama kila anapopata nafasi.

Kama mdau wa soka unaweza kuwataja wachezaji 11 wanaokuvutia zaidi kwenye comment hapa chini.

Usisahau ku follow Instagram account @mawele_jr ili uwe karibu na habari mbalimbali za soka Duniani.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *