Horoya Athletic Club 🇬🇳 (MATCH FACTS AND STATISTICS ▪︎Horoya hawajafungwa katika michezo yao 10 ya mwisho kwenye michuano ya …
Horoya Athletic Club 🇬🇳 (MATCH FACTS AND STATISTICS
▪︎Horoya hawajafungwa katika michezo yao 10 ya mwisho kwenye michuano ya kombe la shirikisho
Ushindi-7
Sare-3
▪︎Horoya hawajafungwa katika michezo yao 5 ya mwisho ambayo wamecheza ugenini katika michuano ya kombe la shirikisho
Ushindi-2
Sare-3
▪︎Horoya wameshinda walau mchezo 1 katika michezo 4 ambayo wamecheza ugenini dhidi ya timu za kaskazini mwa Africa (Nchi za kiarabu)
Kupoteza-3
Ushindi-1
▪︎Horoya katika michuano ya kombe la shirikisho msimu huu
Michezo-10
Ushindi-7
Sare-3
Kupoteza-0
▪︎Horoya wameshindwa kufunga hata goli 1 katika michezo 2 tu katika michezo 10 ya kombe la shirikisho waliyocheza msimu huu.
#TotalCAFCC #PFCHAC
,
Comments (0)