Posted By Posted On

Huyo Kante kazigomea Inter Milan na Real Madrid Ulaya

KIUNGO wa Chelsea na timu ya Taifa ya Ufaransa, N’Golo Kante, 29, amesisitiza kwamba hana mpango wa kuondoka klabuni hapo katika dirisha lijalo licha ya kuwepo kwa taarifa zinazo mhusisha kujiunga na Real Madrid au Inter Milan.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *