
Kikosi cha timu yaHoroya AC π¬π³ kimebakia na wachezaji 14 pekee kuelekea mtanange wa CAFCC dhidi ya Pyramids FC πͺπ¬ unaotarajiwa k…
Kikosi cha timu yaHoroya AC π¬π³ kimebakia na wachezaji 14 pekee kuelekea mtanange wa CAFCC dhidi ya Pyramids FC πͺπ¬ unaotarajiwa kupigwa kesho, ambapo ni wachezaji 12 wa kati na walinda mlango wawili.
Wachezaji wengine waliosalia wamepimwa na kukutwa wana virusi vya COVID-19.
#TotalCAFCC
,
Comments (0)