Posted By Posted On

-Kocha mkuu wa klabu ya Yanga, Cedric Kaze amesema kuwa kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo Carlos Fernandes Carmo Carlinhos amepa…

-Kocha mkuu wa klabu ya Yanga, Cedric Kaze amesema kuwa kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo Carlos Fernandes Carmo Carlinhos amepata majeruhi kwenye mazoezi hivyo ataukosa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara (VPl) dhidi ya Polisi Tanzania mchezo ambao utachezwa Alhamis ya October 22 kwenye dimba la Uhuru jijini Dar.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *