Posted By Posted On

Kuelekea mechi ya kombe la shirikisho leo kati ya Horoya dhidi ya Pryamid fc, ni Wachezaji 12 tu na Makipa 2 wa klabu ya Horo…

Kuelekea mechi ya kombe la shirikisho leo kati ya Horoya dhidi ya Pryamid fc, ni Wachezaji 12 tu na Makipa 2 wa klabu ya Horoya AC ya Guinea ndio wamefuzu vipimo vya afya vya COVID-19, wengine wote akiwepo nyota wa kimataifa wa DR Congo Heritier Makambo wamekutwa na maambukizi ya ugonjwa huo.Horoya AC leo itacheza na klabu ya matajiri ya Pyramids ya Misri katika mchezo wa nusu fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika.
#SPORTSKITAA #TALENTTV

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *