Posted By Posted On

Msimu huu Gennaro Gattuso aliamua kupunguza mshahara wake ili klabu ya Napoli iweze kumudu kumsajili Victor Osimhen Jumamosi m…

Msimu huu Gennaro Gattuso aliamua kupunguza mshahara wake ili klabu ya Napoli iweze kumudu kumsajili Victor Osimhen

Jumamosi mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Nigeria alifunga goli lake la kwanza katiala ligi ya Serie A, Jamaa alifurahi sana, alikwenda kwa Gatuso kushangilia nae kama ishara ya kuushuru kwa kile ambacho nguri huyo wa soka ameifanyia klabu

➡️Gatuso mtu sana

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *