Posted By Posted On

Photos from Sportextra’s post

Kikosi cha Simba Kikiwa Tunduma, kimefanya mazoezi, kula chakula cha mchana na sasa kinaendelea na safari kwenda Sumbawanga, Rukwa ambako alhamisi kitacheza mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *