
Photos from YuzoSports’s post
BREAKING: Kwa makubaliano ya pande zote mbili shirikisho la soka nchini Kenya (FKF) limeachana na aliyekuwa kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Kenya “Harambee Stars” π°πͺ, Francis Kimanzi, kocha msaidizi Zedekiah Otieno na kocha wa makipa, Lawrence Webo.
,
Comments (0)