Posted By Posted On

Raundi ya 7 Ligi Kuu ya Vodacom kuendelea leo kwa mechi 4 kuchukua nafasi na zote kuruka Live kupitia #AzamTV Vinara Azam FC k…

Raundi ya 7 Ligi Kuu ya Vodacom kuendelea leo kwa mechi 4 kuchukua nafasi na zote kuruka Live kupitia #AzamTV

Vinara Azam FC kuwa ugenini kuwakabili Ihefu FC, Je Ihefu FC kuwapunguza makali Azam FC ama Azam FC kuendeleza wimbi la ushindi?

Ruvu Shooting kuwakabili #kinoboys KMC, Je nani kuondoka na pointi 3?

Kwa kifurushi cha 7000 kwa wiki au 18000 kwa mwezi unatazama mechi hizi.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *