Posted By Posted On

“Sisi mashabiki wa Yanga tumevumilia kwa muda mrefu sana kwa tunavyofanyiwa na TFF, mfano kesi ya Bernard Morrison, Yanga imepel…

“Sisi mashabiki wa Yanga tumevumilia kwa muda mrefu sana kwa tunavyofanyiwa na TFF, mfano kesi ya Bernard Morrison, Yanga imepeleka malalamiko lakini imepigwa danadana, pili ni suala la Ditram kukanyagwa na Pascal Wawa” – Daudi Yanga, shabiki wa Young Africans Sports Club

Via #KipengaXtra

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *