Posted By Posted On

Wachezaji sita wa Klabu ya Raja Casablanca ya Morocco 🇲🇦 wamepima na kukutwa wana Virusi vya Corona – Ni siku moja tu baada ya …

Wachezaji sita wa Klabu ya Raja Casablanca ya Morocco 🇲🇦 wamepima na kukutwa wana Virusi vya Corona – Ni siku moja tu baada ya mchezo wao wa nusu fainali ya Klabu Bingwa Afrika wakipoteza nyumbani 1-0 dhidi ya Zamalek SC ya Misri 🇪🇬.

Wachezaji hao:
-Anas Jabroun
-Mohsine Moutouali
-Mohamed Azrida
-Abdelilah Hafidi
-Ayoub Nanah
-Omar Arjoune

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *