Posted By Posted On

WAPE MASHAVU . Kutoka ukanda wa Wazaramo, kutana na mtaalamu wa kumbukumbu za michezo yeye akaziita KIBUBU. Muache atambe kwani …

WAPE MASHAVU
.
Kutoka ukanda wa Wazaramo, kutana na mtaalamu wa kumbukumbu za michezo yeye akaziita KIBUBU. Muache atambe kwani uwanjani na kwenye “Microphones” anatambulika Kama “KEY PLAYER”.
.
Ni mtangazaji na ni mchambuzi, bahati ilioje kwa Package ilokamilika Kama Mussa Kawambwa JR.
.
Nikimuelezea ni zaidi ya kurasa za vitabu ila ni kujivunia kuwa naye timu moja mchezaji wa aina yake, mchezaji anayeweza kubadili nafasi na kubadili matokeo.
.
Mpe MASHAVU mwanetu Mussa Kawambwa JR na umwambie nini apunguze au aongeze.
.
Cc: @kawambwajr_
.
#WapeMashavuWana

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *