Posted By Posted On

Afisa habari wa klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli amethibitisha kuwa kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo, Carlos Fernandes Carmo Car…

Afisa habari wa klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli amethibitisha kuwa kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo, Carlos Fernandes Carmo Carlinhos anasumbuliwa na majeraha aliyoyapa kwenye mazoezi hivyo ataukosa mchezo wa ligi kuu soka Tanzania bara kesho dhidi ya Polisi Tanzania mchezo ambao utachezwa kwenye dimba la Uhuru jijini Dar es salaam lakini atakuwa sehemu ya kikosi cha klabu hiyo kitakachosafiri kwenda mkoani Mwanza.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *