Posted By Posted On

Azam FC yaweka rekodi ya miaka 10

Dar es Salaam. Azam FC haikamatiki kwenye Ligi Kuu Bara, baada ya jana kuichapa Ihefu SC kwa mabao 2-0 na kuzidi kuwatimuliwa vumbi wapinzani wake wakubwa, Simba na Yanga, ikiendelea kukaa kileleni mwa msimamo sambamba na kuandikisha rekodi mpya.,Read More

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *