Posted By Posted On

BEKI POLISI AMCHIMBA MKWARA SARPONG

  NA WINFRIDA MTOI BEKI wa timu ya Polisi Tanzania,   NA WINFRIDA MTOI BEKI wa timu ya Polisi Tanzania, Iddy Mobby, amewapiga mkwara mastraika wa Yanga, kuwa wasifikirie watapata urahisi wa kufunga, wajiandae kukutana na ukuta wa hatari. Polisi Tanzania na Yanga zinatarajia kukutana kesho katika mchezo Ligi Kuu Tanzania Bara utakaochezwa Uwanja wa
The post BEKI POLISI AMCHIMBA MKWARA SARPONG appeared first on Gazeti la Dimba.,

NA WINFRIDA MTOI

BEKI wa timu ya Polisi Tanzania,

NA WINFRIDA MTOI

BEKI wa timu ya Polisi Tanzania, Iddy Mobby, amewapiga mkwara mastraika wa Yanga, kuwa wasifikirie watapata urahisi wa kufunga, wajiandae kukutana na ukuta wa hatari.

Polisi Tanzania na Yanga zinatarajia kukutana kesho katika mchezo Ligi Kuu Tanzania Bara utakaochezwa Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na DIMBA Jumatano baada ya kutua jijini, Mobby alisema wamejipanga kukabiliana na kikosi hicho kama walivyofanya msimu uliopita na kugawana pointi katika michezo yote miwili.

Alisema anafahamu Yanga ina wachezaji wengi wageni, lakini kama hawatambui mziki wa Polisi wawaulize wenzao waliokuwepo msimu uliopita.

“Sisi tupo kamili tumekuja kucheza kutafuta pointi, hatuna hofu na kitu chochote, tumejiandaa na nadhani Yanga wanatufahamu vizuri kuwa haweze kupata ushindi kirahisi,” alisema.

Alieleza wanataka kuendelea kufanya vizuri kwani katika michezo sita walicheza wamepoteza mechi moja ya kwanza dhidi ya Azam FC kwa kufungwa bao 1-0.

amewapiga mkwara mastraika wa Yanga, kuwa wasifikirie watapata urahisi wa kufunga, wajiandae kukutana na ukuta wa hatari.

Polisi Tanzania na Yanga zinatarajia kukutana kesho katika mchezo Ligi Kuu Tanzania Bara utakaochezwa Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na DIMBA Jumatano baada ya kutua jijini, Mobby alisema wamejipanga kukabiliana na kikosi hicho kama walivyofanya msimu uliopita na kugawana pointi katika michezo yote miwili.

Alisema anafahamu Yanga ina wachezaji wengi wageni, lakini kama hawatambui mziki wa Polisi wawaulize wenzao waliokuwepo msimu uliopita.

“Sisi tupo kamili tumekuja kucheza kutafuta pointi, hatuna hofu na kitu chochote, tumejiandaa na nadhani Yanga wanatufahamu vizuri kuwa haweze kupata ushindi kirahisi,” alisema.

Alieleza wanataka kuendelea kufanya vizuri kwani katika michezo sita walicheza wamepoteza mechi moja ya kwanza dhidi ya Azam FC kwa kufungwa bao 1-0.

The post BEKI POLISI AMCHIMBA MKWARA SARPONG appeared first on Gazeti la Dimba.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *