Posted By Posted On

Jana kinda wa Barcelona mwenye umri wa miaka 17, Pedri aliwasili katika viunga Camp nou akiwa amebeba vitu vyake kwenye mfuk…

Jana kinda wa Barcelona mwenye umri wa miaka 17, Pedri aliwasili katika viunga Camp nou akiwa amebeba vitu vyake kwenye mfuko rambo alivyotoka kununua Super market,

Pedric jana alicheza mechi yake ya kwanza na akafunga goli, Nyota huyo mara baada ya mechi kumalizika alikodi tax na kuondoka zake,

Watu wengi wameshangazwa na jinsi Staa huyu mdogo anavyoishi maisha ya kawaida na yasiyo ya kujikweza ukilinganisha na wachezaji wengine wanaocheza katika klabu kubwa.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *