
Kipaji ndani ya kipaji…!! Mshambuliaji wetu wa U17 Christopher Kipande @chrismbppe akifurahia kwa kuruka hewani “samasoti” ma…
Kipaji ndani ya kipaji…!!
Mshambuliaji wetu wa U17 Christopher Kipande @chrismbppe akifurahia kwa kuruka hewani “samasoti” mara baada ya kufunga goli la pili kwenye mchezo wa utangulizi dhidi ya Yanga U17 kwenye msimu wa 2019/20
Mchezo huo ulisha kwa Simba U17 kushinda goli 2-0 , huku magoli yote mawili akiyafunga yeye.#SPORTSKITAA #TALENTTV
,
Comments (0)