Posted By Posted On

Kuelekea mchezo wa Vodacom Premier ligi kati ya Yanga dhidi ya Polisi Tanzania utakaopigwa October 22 2020 katika Uwanja wa Mk…

Kuelekea mchezo wa Vodacom Premier ligi kati ya Yanga dhidi ya Polisi Tanzania utakaopigwa October 22 2020 katika Uwanja wa Mkapa jijini Dar es salam, kocha msaidizi wa polisi Ally Mtuli amejinasibu kuwa wao hawaihofii Yanga bali wanawaheshimu kama timu kongwe

“Kwenye soka hakuna timu kubwa, tunawaheshimu Yanga kama timu kongwe lakini tulichokifuata ni ushindi na ninaamini tutashinda mchezo huo” Alisema Mtuli

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *