Posted By Posted On

NYAKUA TIKETI MAPEMAA, MECHI YA YANGA DHIDI POLISI TANZANIA

Msomaji wa Yanganews Blog:Tiketi za mchezo wetu wa kesho dhidi ya Polisi Tanzania zinapatikana kwenye vituo tajwa.

Viingilio vya mchezo huo utakaochezwa kesho Alhamisi, saa 10 jioni, katika dimba la Uhuru.

Mzunguko 5,000, V.I.P B 10,000, V.I.P A 15,000.

,,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *