Posted By Posted On

Photos from VIWANJANI LEO’s post

Marcus Thuram ambaye mshambuliaji wa Borussia Mönchengladbach alipowasili jana katika uwanja wa Giuseppe Meazza kwa ajili ya mazoezi na timu yake kuelekea mchezo wao wa UEFA Champions League leo dhidi ya Inter Milan.

Thuram alitakiwa na maafisa wa uwanja hapo ajitambulishe kama kweli ni mchezaji na anakuja hapo kuungana na wenzake mazoezini akiwa hana nyaraka yoyote aliamua kuingia google na kumuonesha afisa profile yake.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *